I haven’t watched one single game of this Afcon. Guess am currently drinking too much.
Wsapp mungich,Watch the Algeria v Tunisia game Maathais…That shud be entertaining.
Iko saa ngapi, niwatch ata kama ni 1st half?
5pm CET
7pm Kenyan time
Hata Mimi Niko hapa nawakilisha
poa sana wakanyama…cheza chini. Hawa watu sijui wanataka nn na cc
Tutajili name KTALK 2
Hehe wakanyama na jirani wanacheza chini kama panya kwa sewer :D:D:D
Buuda its @Jirani again, walai mzito wa mine tulikuwa tunaomboleza huku Kijiji bana.
Enyewe wewe ni wetu ma ombleina waende wakikaukaga.
Enyewe nilishuku tu ni wewe tangu ua 1st post.
PS rushia huyo ngunaz ka kitu brathe, God ata kufungulia milango mob ju ya kuokolea a fellow human in distress.
Peace ma Lemur sorry ma Nigga.
Am out.
Omoisioyo Jirani hehehe
Hiyo lazima niwatch.
ban hii midget
Shemeji sema
niko poa semeji
Hahaaaaa miti ya jembe kwa kunyi. Thop! Enjoy the drill
Kwani hauna apps kama Wave or World Remit inaenda direct to Mpesa and they have better forex rates than Western Union and Moneygram.