1 Like
Everything Kasogo touches turns to shit
1 Like
Children’s homes zafaa zifungwe, watu waache kutumia watoto wadogo kama vitega uchumi.
Unapata mtu hawezi jilisha, lakini amerokota watoto akawaweka kwake, halafu ndio atoke akaombe msaada eti watoto hawana chakula, hawana mavazi.
Kama huna resources zako mwenyewe za kulisha watoto, hapana fungua children’s home, hapana fanya watoto masikini kuwa biashara.
3 Likes
It is not like the children’s department and services are doing what is expected of them.
1 Like
Unataka watoto wanaotoka kwenye familia za kimasikini wapelekwe wapi… na serikali ya ruto haijiwezi
1 Like