child abuse

whatever this is, the whole school administration should be fired ASAP.
[ATTACH=full]383530[/ATTACH]

Unaweza fikiria ni corporal punishment kumbe ni character development aka bullying.
Kuna mwalimu alikuwa anatuambia ukneel under your desk and carry it over your head nikama unachapa tizi ya shoulder…and you stay put mpaka lesson iishe.
We loathed the guy…by the way hataki kujua kama weh ni dame ama chali.
Kuna siku alichelewa kufika chuo ikatangazwa following day kwa assembly alipigwa ngeta akienda roundi mwenda…break time tulithrow bash hapo kwa canteen…ni hewa tu mix kali hatukukua nayo.

Shule gani tupeleke Twitter? Ama iko huko tayari?

Shule nilikua line ya canteen ilikua Fight Club kivyake, Rugby had it’s uses

[MEDIA=twitter]1432715666323353602[/MEDIA]

which school. yetu young bodies ulikua unahang kwa queue.

Some semi arid area, unapata line ingine inaundwa kando yenyu alafu mnaskumwa kando bila pause.

Betty kyalo anakataa hio maneno pia

Kuwa maskini ni shida tu.

Nyinyi watu mlisomea ubabini… In primo headmaster alikuwa anakuambia drop your shorts… Kuna jamaa mmoja alikuwa na underwear iko na mashimo… Ise uyo msee Aliwekwa fimbo nikaona moshi ikitoka kwa matako I swear! Masaibu ya approved boarding.

COUSIN yangu enzi zake alilala nje ya staffroom kwa jua the whole day, na jangili akalala usingizi

Hapana cheza na hardcore bukusu wali minya 12 hrs non stop.

:D:D:D:D:D

I become extremely depressed when I realise that there are still some people who think that such attitude to the kids is appropriate. If I were a parent whose child goes to this school, I would kick the priciple’s ass for that. Every kid could be in this position and whatever a child does, under no condition should they be treated like that. More often than not, such attitude towards those who are weaker is the indicator of the fact that this person has some mental problems. If the local authorities let it go, it will be a disaster.

Foolish parents. Watoto wenu wakidhulumiwa na walimu mnanyamaza lakini waarabu wakitreat wafanyikazi wakenya the same way mnataka kupiga kelele?