Chief bonobo in ktalk

I was in nyamakima 2 weeks ago, buying spare parts from my favorite shiny eyed lady, and kabla nibuy spares, the lady gave me a rant on how she would vote for ruto in the hope that things would be different for the common mwananchi like her, I support azimio but I felt she was doing the right thing to vote for ruto… But Sasa when I come to Ktalk, nasoma comment za bonobo mkuu @Motokubwa , who says he voted for ruto kulipa deni , I wonder what grown man thinks in such an archaic manner,wewe ni mbwa ghasia takataka ya manispaa…on a closing note, I hope ruto hata tupipinya na kra, kuimport vitu ni shida banae

Politics has its own language. You must learn how to play politics and then in the proper time, also do business.

Inakaa Uhunye alifinya peasants makeii sana akasahau hao ndio wenye kura mingi.

Mimi nilikuwa nalipa deni,mambo ya wezi WA nyamakima hainihusu, kuimport vitu bila kulipa ushuru hio hii serikali yetu haitaruhusu, so in short sina matarajio yoyote kutoka kwa hii serikali

That was his undoing, bei ya basic commodities iliuma normal wananchi, na ruto used it to his advantage

Deni gani unalipa?!! @Electronics4u patia huyu tag mpya

It’s only a matter of time before wananichi realise the only winners in all these are the politicians