Chicks Dying

Hi talkers wakulima. I have many kienyejis and bata kengei. The problem with kienyeji wakati zimehatch chicks after two weeks they start dying one by one and I am frustrated. Chickmash iko, multi vitamin kwa maji, sawdust iko nyumba ni safi. Don’t know what is happening na sio baridi juu solar imekuwa mingi. Mbisha ndio hizo za wanyama. Iko mbuzi ya kukama na my german shepart muthige (dog)[ATTACH=full]112275[/ATTACH] [ATTACH=full]112276[/ATTACH] [ATTACH=full]112277[/ATTACH] [ATTACH=full]112279[/ATTACH] [ATTACH=full]112280[/ATTACH] [ATTACH=full]112275[/ATTACH] [ATTACH=full]112276[/ATTACH] [ATTACH=full]112275[/ATTACH]

Hii maneno ya Kuku mimi sijui. Lakini vifaranga huwa zinalala nje kwa baridi?
Otherwise pia ebu jaribu kupanga panga hapo nje; vitu zimetapakaa sana…

Naona unatambua sheppart

Stress!! Depression is also a killer!

Hehehe. bucket ni za chakula ya nguruwe. Kijana ya kazi leo ako off , nitapanga. hio nyumba zinakulia ni ya kuotea jua na kula. kuna ingine hapo kando ya kulala fully covered, zinaingilia kwa kamlango kadogo. so sio baridi

I thought it was the female time. Nimetoka mbio.

Do they doze gûshûnga

Anti microbial powder + immune booster labda. Na uzingatie usafi sana, hizo drinker unaosha every morning na unapea maji safi

Yeah they do na guithuna anyhowly. zikianza hivo nazipea Biotrim for cocodiosis. na bado zinadie. It can’t be kihuruto all the time ama? Na mingi ni @mucunu

tunaona muchunu

@Luther12 saidia kijana…we all know you have a BSc Beekeeping and a MSc in Avian Hygiene

Drinkers for the chicks are washed daily juu ziuwekewa one litre per day. Nitajaribu hizo dawa thanks

It is kîhuruto

sa nifanye aje na kuna ingine imehach chicks jana and I want to move them to another kiumba? kuna spray ya kihuruto available?

@Captain284 njoo upeane ushauri.

Wee ni wa wapi,how did you start that buizina if you dont even know how to prevent Kihuruto. End kwa agrovet explain him na utapewa hiyo dawa. usually given to chicks early and a sequence of months

Also experiencing the same problem. I posted a tgread asking for advice but nothing I was advised serms to be working. This week alone I have lost 4 six weeks old chic and 2 more are displaying signs of illness.
Am almost about to give up on chicken rearing.

Kuwa mpole buda hii biz ya makuku nimefanya for more than 10 years. Mambo ya dawa najua. Shida, the disease is very persistent even after kupea dawa zenye unasema za agrovet. sa sijui kama hio kirusi imekuwa hybrid juu its very resistant to available meds in the current market

mchamaa what do you mean by many? Hicho chumba cha kuku sio safi wacha ujinga SV

Kama hiyo mabati ndio nyumba ya kuku you really need to invest in a proper housing.
They may even die from heat stroke juu there seems to be poor ventilation.
Before you brought the chicks into that coup was it treated, the building? Were the chicks vaccinated?
Also the wall could be soaking in water and would be a source of bacteria and also cold especially at night.