Chelsea vrs Arsenal Saturday 6.30 PM

Tunyamazishe hawa noisy Arsenal, wanabweka bweka sana. Meme lords get to work

1 Like

Chelsea wako na injuries katha…Tricky for assholes

Chelsea will be flattened kama gaza.

Gunners 3 Blues 0

2 Likes

Afew key players are back, one of the reasons we have won last 3 matches. James our captain may even start kesho. And the new players have started gelling. At worst we can draw

We can’t hear you from down there, tokeni chini ya meza pris.

In the meantime we own Manchester…we are arsenal

20231010_100503

1 Like

Hio mehe mehe ya Arsenal fans will be your downfall

1 Like

Ninaona kesho mtakuwa mnataka kumaliza unbeaten run yetu kama wa arsenali

2 Likes

Chelsea tunaua

Ndio nimeland.

Hapa itakua a very quick execution.

Tunatandika ng’ombe za blue 4 - 1 nyumbani kwao.

2 Likes

Chelsea itapipinya mtu…

2 Likes

Add on gani Jamaa wa Kodi

Try The Loop 2023

1 Like

FIFA 23 predicted final score: Chelsea 4-0 Arsenal

What do you think the final

Leo ndio nitajua kama hii huwa upuss prediction but from my observations, team ikipiga team kubwa hu draw ama inalala next game…naona hapa nikibubujikwa na machos, kumanisha game ingekuwa last weekend arsenal wangelala, Leo sioni wakishindwa ama draw…

1 Like

Ma haters wa Chelsea, tukutane kiwanja l7.30. Ma fans wetu, muendelee kukaza haga

1 Like

Arsenal aiyeee

1 Like

Tulia daddy. Game bado changa.

Hako kamoja tumewaachia. Sasa nne zetu zinakuom.

1 Like

Unbeaten run imekwisa

1 Like

But huyu keeper wetu ni msenge takataka ya mtu. Nugu anacamp nje ya post sasa hizo mbuzi zimeingiza ya pili.

Happy Lets Go GIF by Kamie Crawford

1 Like