Nimesema niangalie table nione nani ni mnoma na nani anavuta mkia.
Kumbe hawa jamaa wako #13 kwa table? Venye shabiki sugu @Chelsea2 hujipiga kifua utafikiri wako Top 3?
Back in the day hii timu ilikuwa hatari sana; The Drogba Lampard Essien Terry days…
Siku hizi ni fom ni kucharazwa na matimu ndogo ndogo.
Anyway, 11PM Tottenham inatandika nyoka 4 Nil kabla second half.