Chelsea inauwa nyoka

Na si tafasali tuko nyuma ya boy was fegi , Higuain aingie na fujo

Chelsea 3 Tottenham 1

Ni hayo tu kwa sasa wadau .

Leo Wacha wamenyane Sisi Kesho tuko na batoto BA wenger

Na kusupport Lichoti maukedi, wacha Tottenhamchieth ilimwe juu ni hao walitutoa kwa hii carabou cup…asande

Kesho we give that ghassia of a coach that never lasted more than ten minutes as a player kwa pitch kichapo cha Fergie

:D:D:D:D

Higuain ataanza Sunday FA cup…my prediction 0-0

Uwesmeki unasumbua

Uwesmeki unasumbua

Nzi ya yellow sijui hio ngamia

Kante scores

Hazard makes it two.

Spurs wako chini. They are missing Kane, Dele Alli, and Son.

Tukienjoy mazao ya 2018

Lakini huyu keeper wa chelsea ako fiti kwa pena. All of them ame dive the right direction.

Ngombe @uwesmake watu wamekaliwa na bibi mambo yao hatutaki kuskia.

Arv time

Bado wanakamuliwa na Manchieth City kwa final