Weka hapa.
@Gio we have a new enthusiast
Cycling is the way to go
Weka hapa.
@Gio we have a new enthusiast
Cycling is the way to go
Ile bike @Deorro Alikua nayo pale hells gate ni fake, if you know theres sand you get a bike with broader tires.
We cycle on the beach every weekend na hakuna kukwama
Btw ndio hii video ya yule mwoman alicrash Olympics, really painful
Bibi ya Armstrong ameshinda gold medal, hebu gugu uone
Yangu ni JPD. Juma Pedal Dynamics. Hapo nafly kama niko kwa uteo, hapana tambua Shimamo
Huyo hawako related na lance ni jina tu
Wacha nizitafute bas.
Naona nikianza cheki maneno soon…wacha ni consult daktari luther mambo ya mgongo
Kama mgongo uko na shida wachana na @Luther12 sahau cheki maneno. Shida nilizo pitia nikiwa 22yrs na mgongo ulikuwa timamu. Hapo labda uje kwa tiba za kienyeji
Hehehe. Hapa itabidi unisomee nyota. Lakini naweza nunua a simple bike ya kama 20k niwe nikiride huku mitaa. Lakini ikifika Tour de Taita, nakuja kuspectate …a good time to chew mairungi and take a neighbours maid out
all good bikes were gone.