Cheki maneno: Tembea Kenya

Huku ni wa?
[ATTACH=full]67431[/ATTACH]

Hizo flats huwa na elevators ama mtu upanda stairs mdogo mdogo?

Mguu niponye

2 Likes

hadi tenth floor…waaaaaa

Na NCA/NEMA wanapitisha plans.
Sema corruption

1 Like

hizo ukipanda daily hakuna need ya kuenda workout…

2 Likes

Looks like Likoni flats next to Loreto Convent Mombasa

3 Likes

@Meria Mata wacha mchezo. Unafikiria hatujui Nakumatt Roundabout pale ferry?

1 Like

Kuna watu hawajui

Hizo flats zilijengwa kabla NCA was established na county ndio ina approve plans

1 Like

Hiyo nyumba ya juu kabisa nitafikishaje sofa? Kwa keja?

Rent si same na msee anastay last floor ni cheap compared na msee wa basement…

Za zingine maswali ingine kuwa unapeleka clinic, kwani utakuwa blind ati hutaona huwezi?

Wewe si umeshindwa kuona babako alikuwa mluhya heardsboy unatusumbua hapa na upus za Pureblood

1 Like

Tembea paipu ujionee

Naweza taka kuishi huko jjuuuuu kabisa!