Cheki maneno - road race

Crazy me,
Nimeingia kwa race nama juniors half my age.
[ATTACH=full]60315[/ATTACH]
@kingolonde njoo tuko mama ngina.

More updates later

Bro ndio nimetoka church niko home.All the best though

Take away haikukuja?

[ATTACH=full]60322[/ATTACH]
Team Kenya, chesus. Nitatoboa kweli, hehehe

Iko hapa, it’s my cheering squard

Quality of bikes hapa iko juu, mimi tu ndie na race na MTB
[ATTACH=full]60324[/ATTACH] [ATTACH=full]60325[/ATTACH]

Route?

It’s a circuit around Light House

Wapi mbisha ya bike yako!

Pic 1 yellow bike

Race over, i managed to beat three guys, not bad for a veteran.

Award ceremony [ATTACH=full]60338[/ATTACH]

[ATTACH=full]60340[/ATTACH]

Na usemage mapema tunakuja kushangilia

Good stuff. Nikijoin lazima itakuwa advertised pare kwa cnn.

Safisheni macho
[ATTACH=full]60341[/ATTACH]

huko mtaani pia unaitwa Meria Mata

This is @Chloe

Le import?

Sawa bro, next time will inform all well in advance, najua Ata @Supu Atacome