Cheki maneno - mashujaa day edition

To celebrate Mashujaa day leo nimeride mpaka Nyali and met a talker who has joined cheki maneno team, we charted our route na ride ikaanza. From nyali tukapitia bike shop iko hapo ratna kucheki bei ya accesories then past kongowea and tukapitia chini ya Nyali bridge.
[ATTACH=full]63401[/ATTACH] [ATTACH=full]63402[/ATTACH] [ATTACH=full]63403[/ATTACH] [ATTACH=full]63404[/ATTACH]
warning: whatever you do ukuiwa mombasa never ever think of passing here on foot, even before wakali wao na wakali kwanza this place has always been dangerous.

Hio place naskia unaweza fanywa kama ule.msee alipatikana na wife wa wenyewe

from there tukashika njia ya mshomoroni, @jumabekavu ulilenga simu yangu na nilikua nataka kuchukua dawa ya misuli, after the smooth tarmac tukaanza rough road which our bike are meant for mdogo mdogo tukajipata Concordia primary school.
this is the biggest school in mombasa couty with over 350 KCPE candidates.
[ATTACH=full]63416[/ATTACH] [ATTACH=full]63417[/ATTACH]
guess by now watu wa mombasa wanajua twaelekea wapi.

Nilikuwa nimedoz buda.

The going was tough and the sun was hot on our backs but there was no turning back, soo tukafika Hussein Dairy. Tukapata a massive project ya Maji, very huge pipes are being laid to take water to Mombasa town. @mabenda4 hii project ikimalizika hutakosa maji tena.
[ATTACH=full]63418[/ATTACH] [ATTACH=full]63419[/ATTACH] [ATTACH=full]63420[/ATTACH]
kabla tufike hapa tulipa a film crew shooting a movie. walikataa tupige mbisha.

poa bro. Sunday tuko hio area tena

Napenda sana

Joto jingi.

alafu tukafika heart break hill, this hill is so steep ni kaa ile iko kiserian lakini hii sio ndefu sana
[ATTACH=full]63422[/ATTACH] [ATTACH=full]63423[/ATTACH] [ATTACH=full]63425[/ATTACH] [ATTACH=full]63426[/ATTACH] [ATTACH=full]63427[/ATTACH]
many a truck and other vehicles have ended their journey here, there is no sign whatsoever that you are approaching a very steep slope. 2014 a minibus taking guys to a funeral rolled here and several lives were lost.
This is the area known as Nguu tatu coz of three prominent hills that are found here.

Never let any light enter a pinhole camera except for through the pinhole itself. the substrate should never be exposed to light and should be installed into the camera in a darkroom or under a completely dark cloak.

hapo chini ya mlima kuna a baobab tree.
[ATTACH=full]63429[/ATTACH]
usifikirie eti imekauka, by january it will be in full broom. its in hybernation mode.
question 1. Baobab huitwaje na kiswahili? (100 likes)

the aftermath of conquering this hill
[ATTACH=full]63430[/ATTACH]
saa hio ndio mtu hufikiria kutupa hio bike achukue boda arudi home.

its been several months since i was on this sides na ie kitu nimeona imenishtua, mashamba zote zimevamiwa, guy have constructed shacks all over waiting to see if watafukuzwa and then they sell, saa hii ukiwa na 20k unapata 50/50 but no papers. ata ile circuit yetu ya motor cross na safari rally imeenda.
its that serious.

by the time i got back home i was doing 5kms/hr, yes i was that tired.
but saturday am doing it all over again.
saa hii naenda Bikini inspection huko beach.
kitunguu lazima inuke

@imei2012 visits county 001 very soon anza kuorganize kina @bjurmann @jumabekavu na all other ktalkers there to welcome mzito pale jomo kenyatta airport

Mabuyu

Umekosa, mabuyu is the fruit

KDF hiyo airport ni gani?

Kumbe wewe ndo Poorman wa Mombasa? A dirty old man Poorman is…

Mwembe tayari international