am not happy with our game nor am i mad with mourinho but the players have not really grown to the chosen one phylosophy wat we lack ni
team cohesion and unity
we need a right back asap
Wigwan rasta, one love,
Cheki maneno is for cycling.
Tuwekee ngoma kadhaa za the waiters.
Pole for the draw
Si mlisema ‘No Rooney, more goals’ Sasa inkaa ni ‘No Rooney, Still no win’
Watu wanacheza na uzembe ingine tu ata sijui inatoka wapi…ata team ikipanga basi we need to play with urgency.
Wewe na Nani?
Mimi na man united…tuko pamoja… Si kaa ww na hiyo team yenu malenge arsenali…:D:D
BARBER TO BARBER MIDFIELDER AMEIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Get one… I believe pesa sio shida. What the Special One wants, he gets, except a win (Lately).
[ATTACH=full]60450[/ATTACH]
united we stand …
…@Meria Mata ni wa ile team ya klop, if I have my facts right.