Cheki Landlord fala sana

Anawezaje tupia watu shonde kwa keja…ata kama mjengo ni wake that aint cool.

Sasa kuna haka kadryfry katalala nje leo in the cold!
[ATTACH=full]148860[/ATTACH]

Si amekosea sana huyu mzee

2 Likes

@cortedivoire can you throw fecal matter at your tenants? Take the pole

11 Likes

Lakini pia landlord na pia the tenants ni watiaji.wanampeleka tribunal juu ya additional 5k…si wangesaka njia ingine. Am sure they ganged up na kwenda huko wote,problem is saa hii kila mtu ako solo.

4 Likes

:D:D:D:Dhii activism na kuchocheana haitupeleki poa…

1 Like

he owes the tenants a duty of Care. hapa ni Ku tafuta a good lawyer and sue for damages

These tenants should retaliate by pouring concrete/cement down the toilet.

11 Likes

Ingekuwa Mimi. I do import of kunguni za kayole. Watahama hio plot. Issue solved. Then disinfect.

1 Like

findeo iko wapi ?

1 Like

If the case goes as it shoukd those guys will live for free for a year

2 Likes

uncle nimeona hiyo findeo ntv mblo hiyo mblot iko nyoka swafi…

1 Like

It ain’t right to dump shit to the tenants but again, they each shud negotiate with the Landlord indiviually, they didn’t move in as a group.

Hi nchi tuna jokes kweli.yaani msee anatupia watu shonde na bado ako free tuu

1 Like

kenya bila kitu wewe ni nzii .

Subjecting tenants to annoyance sio kesi kidogo.

1 Like

Huyo landlord anaweza pigwa fine ya mangapi hivi.

1 Like

It’s a C.R not civil case.

Jaro Soja give that dryfry a roof to put over her head

2 Likes

mimi kuna dim eye alinipeleka huko after an attempt to throw him out maze huko tribunal tenants wanasikizwa sana he told the judge ati watoto wake wanasoma tu hapo next so he cant move nikaambiwa ni tulize kende but nkauliza huyo judge pesa yangu ya the last 6 months ntatoa wapi juu fala hajawai lipa keja judge akastuka coz the guy ndio alinishtaki ikakuwa jamaa hio mwezi alipe pesa yangu atleast half kufika mwisho the guy showed me the finger live live.
nikarudi tribunal na ukali mob sana am sorry to say this at tribunal kunakuwaga na notice board ya how the cases will flow maze zote tenant ni dim eye amekosa kulipa ,so my case came up nikaambia koti nataka tu pesa yangu juu wao ndio walimchocha na hata pia at the court he dint show up,tuseme tu nilitoka hapo na court order to ocs buru ya kutupa mtu out na ocs to supervise.
am no shinny eye but my caretaker is, the few months that that fool paid he used to throw the rent down ati pesa yake hawezi pea okuyu kwa mkono so when throwin the guy out my caretaker is an old mzee wa church was singin those praise songs za kisapere.i told the dim eye labda aende aishi uhuru park huko ni free alafu pia ni tao.

7 Likes

CR ndio nini

1 Like

Conjugal Right.

3 Likes