CHECKI MANENO: Steel Bar Bike Edishen

[ATTACH=full]140746[/ATTACH]

@Meria Mata ona ile kitu Makanika @introvert ameundia mzito, naenda kupanda na hii Mai Mahiu

7 Likes

Wapi brakes

3 Likes

:D:D
Ukipanda Mai Mahiu na hii , kwanza fixed gear, uje nikupe Bianchi free of charge.

5 Likes

hio bike inaweza jenga shutter za hazina towers:D:D:D

1 Like

[ATTACH=full]140758[/ATTACH]

8 Likes

Hii bike ukichapa 500m kwa mlima unarudi ukiwa hivi:
[ATTACH=full]140759[/ATTACH]

1 Like

Accepted, wacha tizi ianze

Hii ni ya wapi?

Uliza mambo ya brake shoes kwenye zinapatikana

1 Like

Back in ocha hizi 'custom " made bikes are used by guys whos transport 2Two and half 90 kg bags of maize to sell to the National Cereals. We call them 'Kenya runda". It’s one of the most laborious hustles i have seen in my life. Sometimes they cover more than 30 kilometers. I always imagine such a guy akupate kwa wife yake after such a hustle.