CHECK MANENO VINTAGE

1990’s BMX check maneno
Having traversed the larger part of eastlands during the 90’s it knew all the the joints where you could get the best ‘weed’ and some chang’aa dens though i never used to take it

A ride could get me slices anytime kwanza nakumbuka ka yellow yellow kalinipea virginity juu ya hii check maneno

crushed nyees coz the sandal was hard…ata virginity ilikua inatoa
lost uncountable times and in i always knew where to recover it

its alive and kicking but iko mushatha mayakos

Happy Easter Talkers

1 Like

Karibu NV, keti hapa ujifundishe kuweka mbisha vizuri
[ATTACH=full]94485[/ATTACH] [ATTACH=full]94487[/ATTACH]
Hebu weka hekaya za cheki maneno in full

3 Likes

Hii yako inakaa black mamba ndogo ni vyenye tu iko yellow. BMX za ukweli hizo enzi ni kama hii hapa

[ATTACH=full]94488[/ATTACH]

And btw @Gustavo = @Gio

7 Likes

hahaha…@meria mata ebu nieleze mbisha uwekwa aje

1 Like

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/04/157970_9993d09eacfa2f42ad5d886df8987074.jpg

Ndio hio @meria

1 Like

@kush yule mnono zilikua na versions pia but steering ndio zilikua zinavary

2 Likes

BMX zilikua na rim za sports, @kush yule mnono knows what he is saying na zilikua za red

3 Likes

And blue as well.

BMX zilikuwa na bottom bracket non-standard. Crank arms went all the way into the bottom bracket. Kama haikuwa hivyo ilikuwa brand ingine. Cordon bleu chef @Gio may know what type of bracket this is.
[ATTACH=full]94494[/ATTACH]

2 Likes

ama maybe nilicheswa wachina pia walikua izo enzi coz ilikua na chapa za karatasi za BMX @Meria Mata :D:D:D

2 Likes

Hio ni ya india, ni kaa zile ziko nakumatt

1 Like

Trademark ya bmx was the handlebars and long seat pin

2 Likes

nilikua nimeibuy nakumatt btw @Meria Mata

True. But no other bike had that bracket.

2 Likes

am still wondering how the sandal crushed your nyees

1 Like

kwa rough road @Okwonkwo :D:D:D:D

1 Like

Hapo naona watu wa Nakurumatt walikuchesa. Not forgeting the trademark handlebar
[ATTACH=full]94496[/ATTACH]

2 Likes

sandal ni slippers… kumbe you meant saddle

1 Like

nilicheswa though the check maneno was strong coz bado iko chonjo:D:D:D

1 Like

grammar apana tambua @Okwonkwo kiingereza ilikuja na meli

2 Likes

I remember how I wished and prayed Mzae aninulie baskili, unfortunately back in the day money was scarce ilibidi unadoea za wenyewe. Luckily some neighbours had one nilijifunza kuendesha in a matter of hours, kutoka hapo nilikua naenda kule Kona karibu Jonsaga kuna majamaa walikua wanaoffer bikehire services at 1 bob/minute, nasanya 30bob za mathe naenda nachapa raundi. ubaya barabara zilikua zimejaa potholes bollingo zilikua zinagongwo unaskia pain mpaka kwa tumbo.

5 Likes