Cheap clean lodgings in CBD

Kuna mtu anaeza jua wapi naeza pata lodging cheap CBD Iko na maji moto na ni safi. Kuna Dem nataka kumunch kesho. Ill appreciate the feedback. Please kama huna kitu ya maana kusema ama ni kuongea matope usirespond kwa thread kwa heshima. Thank you

3500 ndio utapata maji moto iko na bathtub na dstv room safi pale milestone hotel mfangano street, shida hakuna parking. kama uko na pesa shuka hapo sheikh karume street upate hotel central park ulipe 8000 upate experience ya kama birionea

For his purpose, a room worth 1500 is good enough. I would advise him to go to Lazarus tomboya street.

1500 atapata hakuna lighting na bed ni 3 by 6 hata hakuna space ndani na mlango ikifunguliwa inablokiwa na kitanda

@Chiefguest saidia elder.

Ingia Uhuru park hiyo corner ya juu kuelekea Upper hill

Bora @cortedivoire asijue. Otherwise hii ni bei ya mahari.

You don’t need a lot of space to have sex

Beam hotel

Cheap and clean cannot be is same sentence. Ongea na @Kodiaga akutumie pin location ya athusi bar hiyo area ndio kuna lojing za mia tano. Huko uta okota hadi chawa za chokosh na watu ya troli.

Karibu hotel. 2k.
Round about ya Haile Selassie avenue na moi avenue facing easy coach

1 Like

Ataumwa na nyoka hapo

Kuna makeja za 1500/- Tsavo Rd

Check out air bnb[ATTACH=full]450539[/ATTACH][ATTACH=full]450540[/ATTACH]

Sabina Joy. 1500ksh per night. Very clean nowdays

Cheap and clean don’t exist in the same sentence brada

Jerry city hotel… 500 1hr but very clean and private…

Hapa uko sure?

Wewe inakaa ni veteran hio sector ya ma poko.

Yeah…

1 Like