Chasing the wind pt 3

Kusema ukweli nilishukulu my mungich days were over coz in a nano second nikiwa hapo chini jeans yangu ilikua imevuliwa imefikishwa kwa magoti, ingekua hizo siku za kitambo ningekua ndethe coz mungich na boxer hawapatanagi, kufikiria hivo nikaanza kucheka, yes, in every situation I always see the funny side. The cops turned me over waangalie kaa nimeficha bunduki kwa makei lakini hawakupata kitu, very roughly nikasimamishwa and was frogmarched into the stationwhere this lady was screaming RAPIST AND MURDERER at the top of her voice, alikua amefume kabisa karibu alipuke na akanikumbusha Captain Hardock napia mimi nikamtusi polepole kwa roho, Bazi Bazook, Duck Billed Platypus na nikacheka tena polisi wakashangaa.
Saa hio kaa natembea on my tip toes kaingizwa kwa ofisi ya OCS, I was under very tight guard ya about 15 officers, the lady was brought in and still hysterically crying akapeana story vile nimemfuata from Mombasa, akaelezea pia vile nimegonga gari yake several times, alipo maliza hekaya yake ndefu was given a chance to talk nikaanza stori yangu from three days ago, nikawaambia waingie kwa gari yangu wachukue logbook waconfirm story yangu, up till the time nilikua nimetoka ofisini the mileage had been put downand then nikawaambia about the fellow I saw getting in the boot of the Subaru pale kwa parking, after wote kuniangalia na macho ya idonbilivyou tukaandamana inje pale tulikua tumeacha gari na polisi asked the lady to open the boot, I cautioned them that the man might be armed wakae chonjo, vile nilikua nimegonga boot kiasi ikakataa kufunguka but after a little brute force it yielded.
Wueh, indeed they did find a gentleman coiled in a foetal position kwa boot, he was manhandled out, frisked but there was no weapon on him, I insisted wakague boot vizuri and under the mat they found a loaded pistol and an ugly menacing Somali sword, to my dismay, sikutolewa pingu even after showing them the bad guy, instead was taken back to the OCS office but this time I was given a seat while the thug was taken to another room for interrogation, The OCS was now a bit friendly and he informed that he wanted to check my story out. He called my boss and luckily he knew him from the day he was stationed at the port, kumuuliza kaa anajua Meria, Muarabu akammuuliza huyo shoga umeshika yeye akifanya nini, OCS akamuelezea yaliyojili and also told him I wasn’t under arrest he just wanted him to confirm my story ya that afternoon, from the body language and tone of his voice nikaona the OCS was now convinced of my innocence, akasema handcuffs zitolewe akanipatia simu, ile mharo ya matusi nilipata acha tu, after being with him all those years I was immune to his insults but ile iliniuma nivile alisema ile pesa yote yeye hunilipa na ile hua naiba ya spare parts + ile ya kukamua diesel siwes lipa Taxi yakupeleka dame kijipwa, kwanini nitumie gari yake. And with that akasema gari ilare yard hio siku.
The much calmer lady was brought in akashowiwa vile nilikua nimemsave from possible rape or even murder, it took time to sink in and when it did she came over to me and gave me a hug.

enyewe kaka una bahati… kama ingekuwa hakuna Jamaa kwa boot ndio ungekipata. Nice hekaya

you can say that, its an element of luck, my personality and confidence

then???

Wewe nanii rudi kwa tbt. Hizi winds zako utachase baadaye

Hekaya iko tops!

Hekaya okey, lakini hukulipa bill yako pale ulikuwa ukiburudika?

Kama kawaida Meria outdid his previous record in Hekayas.

tulia my fren, hii ni saa ya timbetee sio saa ya kumaliza hekaya

Hekaya iko swadkta lakini VC ulipewa tu hug pekeyake???

Hekaya iko juu tu sana, standing ovation.

OK, @pseudonym tuendelee but leo niko rada hamtanipata offside.

Nice one meza mate.

Parangrafu imwe tu???
:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Nice one though. Lemme jump over timbitii

Huyoo boss wako hunibamba sana…
“huyo shoga umeshika yeye akifanya nini?”
[ATTACH=full]162536[/ATTACH]

i guess hii wind iko kwa hii hekaya si kuchase alichase but aliibreak when he was handcuffed that is why alikuwa anacheka…i stand to be corrected though

Ng’ano cia marimu

New edition-2018

hahahaha…
Chasing The Wind Part IV - Hekaya - Kenya Talk

Your boss hunibamba sana…yaani after every two words unapata matusi…

Hiyo story ya kuogopa kushikwa ndio ilifanya nianze kuvaa underwear pia but I wasn’t one