Plot inakuwanga na mambo mengi sana…unakutanga watu wengi sana
Kuna ule mjamaa huweka loud volume akiona movie ama kuskiza mangoma ama kama ana gari anakuja amejazaa volume mblot yote.
kuna yule mtu haongeangi na watu unamwona asubuhi ametoka amerudi jioni kisniper…hakuna mtu hujua anafanyamga nini…ukikosa kumwona unaskia alihama
kuna yule dame huwa msupuu anakatiwa na bachelor kama watatu wa mblot
kuna yule mtu huwa na mastori nyingi sana na anajua stori ya watu wote wa plot considering that walls za mblot have ears
kuna yule neighbour mmoja huwa na roho mzuri mwenye anaweza kusaidia kama ni plastic chairs…kama uko na shida ya maji.
kuna mtu huwa mchafu kama fuck…nje ya nyumba ina vumbi kama dashboard ya paradiso…takataka zakehaweki mzuri
:D:D:D:D:D
…And the nosy guy who knows them all!!
14 Likes
And there’s always that mama wa duka who knows every udaku in that plot.
Kuna yule mjamaa huchoma mkia ya paka, na hiyo inachoma mbloti yote
Kuna yule mjamaa huwasha nduthi kwa bafu ya mabati, then anapatikana na wamama wa mbloti
Kuna yule mjamaa hupatikana akikamua dame wa plot, anatoka nje kwa giza, uchi, akiwa amebeba nguo na gumboots
13 Likes
_nooty
January 4, 2016, 7:42am
6
And that hustler/ fisi who screws your house girl ukiwa job
8 Likes
At times I feel guilty for not talking to anybody kwa plot
2 Likes
_nooty
January 4, 2016, 8:06am
10
blueline:
tupe hii hekaya
Save this hekaya about some bukusu hustler in southlands… for another day
1 Like
Kuna yule mjamaa huchoma mkia ya paka, na hiyo inachoma mbloti yote
Kuna yule mjamaa huwasha nduthi kwa bafu ya mabati, then anapatikana na wamama wa mbloti
Kuna yule mjamaa hupatikana akikamua dame wa plot, anatoka nje kwa giza, uchi, akiwa amebeba nguo na gumboots
That sounds like kanono AKA Kush
3 Likes
naukikuwa na shida we hufanya nini?
Jirani
January 4, 2016, 8:36am
14
Ushawai ona wale MA loner ata wakiwa na shida ni kheri wabaki wameumia alone na tushida twao…@old monk ni one of them
1 Like
ule mlevi wa mblot bibi humagwa na mabwana wrote wa mblot.
ule Mwizi ama Ana mtoi mwizi kitu ikipotea ni nyenye hata akiwa ocha.
1 Like
Shots fired, shots fired @old monk take cover:D:D:D
That’s the same question I’ve been asking myself since childhood and realised that friends forsake friends which means its not guaranteed that somebody will help you because you happen to know each other.
2 Likes
wheelz
January 4, 2016, 8:53am
18
Na ule Jamaa hubadilisha gari Kila week?
1 Like
That coming from somebody who said he will spit on my face…I’d rather ignore
Kuna yule hunusa panty za wamama/madem kwa plotty
4 Likes