[MEDIA=twitter]1538390809552338945[/MEDIA]
:D:D:D very true…wamama wa kiosk walikuwa wameikosea heshma na kuuza ten bob. Hawajui Chapo Kuna time ilikuwa CHAPO
kitambo watu wakipika chapo ndondo supper ilikua ka fight night. bro yako anakukamia ukiwa unacheza anakusho unaitwa. ukimuuliza “na nan?” next response ni shauri yako
:D:D:D
Hebu check the price of maize meal in a kiosk next door. Chapo is now cheaper
:D:D:D
Nmefikiria ati tena el chapo guzman amehepa jela colorado…
Watu walikuwa wamekosea chapati heshima kabisa.
Hapa ndio unakosea chief. Here be mbirrioneas,they live next door to no one
Zile mandazi mwitu zimeisha kwa estates