Chapat za kusukuma

KAdirieni hata muda naona mnasema kanda tu kanda tu, kuna wengine hata uwe laini au mgumu hatujui.

Ooh yeah! Nimekumbuka…kuna jamaa mmoja anitwa mmasy.

kwa speed ya kawaida not less than 15 minutes ukikanda dk 20-30 inatosha

Asante @Evelyn Salt

Live Long Jamii Forum

Jamani katika vitu vilivyonishinda kupika ni chapati uwiiiii sijui Sabab sizipendi sijui ni nn basi taabu tupu

duh pole, hupendi chapati?
mi napenda sana naweza kula daily basi tu kukanda unga kila siku napo shughuli

Ahsante
Kweli sizipendagi kabisaaa
Kwa hyo hata kupika siwezi
At least zile za maji naweza kujitahidi

Pole me zinakinaisha nikila leo nsiile had baada ya wiki ndio nle tena zisilale

Afadhali ww sasa
Mm hakuna kabisaaa naweza maliza hata mwaka sijala

nmeshindwa kutoa laini…nakufuata masharti kote huko ya kukanda mda mrefu

Unazinyima mafuta maybe

Duh

Ushakuwa fundi siku hizi hahaha, alafu njoo PM nikwambie kitu

Aisee napenda chapati balaa