Chap chap, hakuna mda wa kupoteza🤣

https://x.com/bevalynekwambo3/status/1887058293710790856

3 Likes

Huyu dame Ako na Lanye traits. Naonanga ni kama Lanye anadiversify income na content creation

2 Likes

@Siwesmind kumkula dryfry hadi anifokee vile anafokeanga Marcus.

Kabisa, haikosi alikuwa kunguru.

Straight to the point ni Niko na 150. Naweza kudinya?

1 Like

Hio bado ni kuwaste time. Uliza tunadinyana ama hatudinyani?