juzi nimepeleka my samsung phone kwa fundi na nikama waligusa lens ya ndani ya simu ,sahi simu inaonyesha shitty images,wapi ntapata original camera ya samsung i change and how much?
but carrying two devices ni hustle for me
u can first see on utube how to open ua divce and try to clean the lens from inside
we tried but nikama we scratched it
So ni wewe uliharibu na sio fundi.
Anyways vyenye @snapdragon amesema, cheki hizo video vipoa and try DIY
tulifungua inthe process ya kupanguza tukascratch lens
Kwa nini usipeleke simu kwa samsung
Hapo sasa nimekuelewa bruh
sina warranty,btw wako na mafundi wanaeza repair bila warranty ?