Can you change imea ya redmi 9?
How
Leta maoni
First of all its called imei and before you even attempt you must first root your phone…do this and then we will talk
Saka nvram na scatter file uflash, na sijui kwanini unabadilisha imei unless wewe ni mwisi
Nipe process.
I bought second hand phone naogopa inilete shida.
Just incase
Scatter file toa kwa stock rom, nvram katiana uko google university na pia unaeza hitaji secro. Soma apa process https://forum.xda-developers.com/t/how-to-flash-nvram-bin-using-sp-flash-tool.3562765/
Rudishia mwenyewe simu
Umbwa wewe ndio Una encourage wizi. Ambia yeye achukuwe affidavit halafu akimbie Kwa DCI. DCI watachange bila shida.
Nini machungu mkuu:D:D:D
Utaanza kufanya hii biashara watu waanze kupigwa tisa river road. Hata kama najua siwes kusaidia. Ungeenda na mwenye simu safaricom iangaliwe kabla ya kununua.
Umepiga nani ngeta?