CHANGAMOTO KATIKA MAHUSIANO

Mtalii ni kijana ambae anakabiliwa na ugumu wa maisha huku akiwa anamuuguza mama yake na hana kazi ya kumuingizia kipato. Maisha yanakuwa magumu mpaka mke wake anamtoroka mwisho anaamua kujiunga na kikundi cha uhalifu cha rafiki yake Tope ili aweze kupambana na ugumu wa maisha, Je atatoka kwa njia hiyo na kuokoa mahusiano yake? Check hii short film


https://www.youtube.com/watch?v=luustklyhE4

All we need is love!

Very true brother!

Tupa kule

Sawa

Mtalii hatuingiziii pesa ya kigeni