Chelsea vs Porto
Bayern vs psg
Madrid vs liverpool
Mancity vs Dortmund
Mancity to meet bayern if they proceed to semis
you beat me in posting this
wtf, Liverpool vs Real, kwicha sisi
we shall live to fight another day
Bayern Munich/Paris Saint-Germain v MANCHESTER CITY/Borussia Dortmund
Man city wataonea CL kwa viusasa ata hii mwaka
Hiyo mteremko ndio chelsea watateremshwa nayo wakiendanga
Hata Semi finals tumepewa wanyonge. TUCHEL THE GENIUS
Finals: Chelsea Vs. Bayern
Winner: Chelsea
Ni kama hujui ile form tuko nayo mzae
Amka unakojoa kwa kitanda
Manjesta united fans are blocked from accessing this thread. Ngojeeeni yenu ya europa
[ATTACH=full]355148[/ATTACH]
Guys don’t underestimate Pep, you wrote him off and he accumulated 15 straights wins in EPL and 21 in all competition, don’t say we did not warn you
:D:D:D
[ATTACH=full]355150[/ATTACH]
Ndio maaana tumempea bayern apambane nao
Vini JR is smiling all the way to the bank
[ATTACH=full]355153[/ATTACH]
Salah Meets Ramos again.
hapo sawa
Semis 1
City vs Bayern huu ni mwaka wa City
Semis 2
Chelsea Vs Real = Chelsea through.
Finals
CIty vs Chelsea
Man city the champions of europe
but Madrid na Liverfool zote ziko chini but madrid atleast defense inajaribu so hio game ni 50/50