Champions League semi finals

Have you upgraded/updated Kodi?

Bado buana.

Unangonjea nini?

1 Like

Pole chairman! Ntafanya imindindli nimeingia kejani!

1 Like

Yaani hata. Kwa hio kwa hii game ya BVB na PSG nimesikia commentator (Darren Fletcher) ametaja Timüü Njegaa…

Kweli Man Utd ni popular. Wadaus

Next. Season tuko the first football club to advertise AI Wadau (Snapdragon )

1 Like

UCL without Chelsea is tasteless. Dortmund wanaguza game lakin. I expect Bayern to meet their rivals in the Finals.

1 Like