izo ma tips zicum…[ATTACH=full]194127[/ATTACH][ATTACH=full]194128[/ATTACH]
Uchambuzi ianze[ATTACH=full]194131[/ATTACH][ATTACH=full]194132[/ATTACH]
Niko nyuma ya psg hao maboi wa Red watulie
panya ya wenger
Assenali iko group gani
Mimi nitangoja game za Thursday.
Hiyo PSG vs Liverpool inakaa kuwa game moto. I cannot wait to watch it.
@123tokambio @sludgist na wengineo angalieni[ATTACH=full]194154[/ATTACH][ATTACH=full]194155[/ATTACH]
Kama mbaya, mbaya…
[ATTACH=full]194165[/ATTACH]
Thanks goodness for the new early kickoff games.
More live football
Messi first to draw blood
Hehe Inter - Tottenham wako kwa mfuko ya muindi
Yaani PSV wamefanya Passenger Service Vehicle ya kubeba magoli; even against 10 men wanaonyeshwa kivumbi…
PSG tayari wako nyuma 2-0 na bado 1st half haijaisha. Liverpool waue hii nyoka ya arabs bila huruma.
Psg wamefunga now is 2-1
BVB are still shite