Champions league quarter finals

:grinning_face:

1 Like

Arsenal kupewa team rahisi tena

1 Like

Yuletapeli

4 Likes

But mlipiga PSG 3 nil..
Team inanipea wasi wasi ni liverpool

Semis you’re meeting Madrid
Or Bayern again

1 Like

Hakuna game rahisi champions league

4 Likes

True. Pale 2004, wasee walidhani Porto ni jokes. Ile game Deco na Alberto waliskuma Monaco ilikua inaona tu moshi pekee.

1 Like

Mahali nimefika kama mu arsenali ni ROsary tu… najua sasa tumeingia kwa ocean ikona sharks, whales na kadhalika.

1 Like

Hii part imenikumbusha ile ngoma ya DDC Milimani inaitwa Sauda. Ile line ya…

…“duniani kuna mengi, sawasawa na bahari, kuna papa na nyangumi, tena wale wa hatari”…

1 Like

Ndio sababu nashindwa mbona nikona anxiety na sielewi… kumbe my worry ni Arsenal Fc. Mungu saidia

1 Like