Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwanachama Mkazi wa Baraza la Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) Moses Mahuna Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 5 bure kwa ajili ya matumizi ya Chama hicho cha Wanasheria.
[ATTACH=full]499188[/ATTACH]