Chama cha Udhibiti wa Nishati kwa Afrika Mashariki kimepatiwa ardhi ekari 4 nchini Tanzania.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha Udhibiti wa Nishati kwa Afrika Mashariki Geoffrey Mabea Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 4 kwa ajili ya matumizi ya Chama hicho katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Arusha Machi 03, 2023.

[ATTACH=full]499187[/ATTACH]