Katika kikao maalumu kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 5 Novemba 2025 jijini Dodoma, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ilijadili hali ya kisiasa nchini kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hiki kilikuwa kikao cha kwanza tangu kukamilika kwa uchaguzi huo muhimu kwa Taifa.
Katika taarifa yao, viongozi wa CCM walipongeza kwa dhati wananchi wote waliotekeleza haki yao ya kidemokrasia kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura. Kitendo hicho kimeelezwa kuwa ishara ya imani kubwa wanayoendelea kuwa nayo kwa Chama Cha Mapinduzi. Uaminifu huo umetajwa kuwa msingi imara wa kuendeleza mshikamano na maendeleo ya Taifa.
Aidha, CCM ililaani vikali vitendo vyote vya uvunjifu wa amani vilivyofanywa na baadhi ya watu, hususan vitendo vilivyosababisha vifo na hasara kwa mali za umma na raia. Chama hicho kimesisitiza dhamira yake ya kusimamia amani, usalama na mshikamano wa kitaifa, likiahidi kuendelea kubeba majukumu ya kuliongoza Taifa kwa uadilifu na uzalendo mkubwa.
Katika maazimio yake, CCM pia imeitaka Serikali kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha hakuna viashiria vyovyote vya kuhatarisha utulivu nchini. Kwa mujibu wa chama hicho, kulinda amani ni msingi wa ustawi wa kijamii na kiuchumi na ni wajibu wa kila Mtanzania.
Taarifa hiyo inahitimishwa kwa wito wa kuendeleza uzalendo, umoja na mshikamano wa kitaifa, ikiwa ni sehemu ya kujenga Taifa lenye maelewano na maono ya pamoja ya maendeleo.
Huo ni uwongo kwa sababu wewe ni shoga. Unatombwa mkundu ndo sababu posts zako hunuka mavi. That’s the reason your arse squeaks kwikwikwikwi condom zikikutana na mkundu wako.