Chai ya SAA tano tukiwa na fellow billionaire

[ATTACH=full]378426[/ATTACH]

A fool and his money soon part ways.

Bwana chifu huku ni kule kiwanja ndege ulikotua siku flani na ndege bandika au?

Eeh

Samosa ya 1750…ata kama kwani inakaaa aje?

Samosa gani hio ya 1750?

Only birrioneas can understand

Yetu birrioneas

God give me money nikuwe nafinya samosa ya elfu moja.

That restaurateur is smiling all the way to Stanchart.

Jibambe Chief. Ongeza steak pia ufurahie jasho yako.

Nikifungua Steakhouse birrionea villagers mkuje.

Senji! Hii kitu is allover the net na wewe uko apa ukijaribu kuflex nayo… and its from kempinski. Shm!

kwani izo samosa zinapikwa na ng’ombe mzima

[ATTACH=full]378432[/ATTACH]
:D:D… cropping such images to flex on online strangers is a new low.

Keiinoo weww

Maybe Ni yeye alipost,

@ChifuMbitika , samosa Moja imetosha nyama kilo tatu

:D:D:D:D… you cant be that gullible.

@ChifuMbitika ndio maana bibi yako hukusondeka…shenji sana.

Chifu this is beneath you

Kumbe hii @ChifuMbitika ni a peasant ghasia imposter.