…nko na beshtangu flani anapenda sana kukamua malaya apa eldoret.uyo jamaa anaeza kamua malaya watatu usiku moja na io habit inamuumiza sana.recently alipata ugonjwa flani funny ya skin na akaend up amenisambazia juu alivaa nguo zangu.naeza saidiaje uyu jamaa manze…ye ni malaya addict vibaya sana
Sema tu ni wewe ndio unahitaji usaidizi. Sare pokoste
chundiii
Haha…unajikuna usiku sanasana? plus wajikuna wapi exactly?
Na hiyo 8860 ni wale mapoko umekamua ama ? Anyways inbox @uwesmake, he must have gone through the same ordeal at one point.
Next ni gonorrhea, herpes kama bado ujapata, then you get inducted in the hall of fame when you contract syphilis.
Eldi? Kama uko eldi chunga. Malaya wa Eldi hawaeleweki. Wanagawa kiholela na ikizidi wanaomba mti bila sox.
:D:D:Dumepitia ii shia pia?akuna part ya mwili imekua spared najikuna adi kichwa ya mjuels:confused:
Unaelewa malaya wa wapi?o_O
…nlisema si mimi nko na shida.I’m just concerned for a friend
Hekaya for another day. scabies:D:D:D…affects thighs, waist, matako mikono kwa wrist. Buy Scabiol Lotion Cream. Anza na kutest mjulubeng.![]()
pia matako:D:D:D:D:D, sasa hapo unajikuna aje, hii kuosha rungu itamalisa wengi
Kama beshte yako anapenda malaya hivyo…any sign of sickness huwa ni ukimwi…amepimwa??
Nani anajikuna?
si kwa mkarara…just butt cheeks…but ukianza wajikuna na both arms - intense scratch
…nimekua nikitumia xtraderm na ata sijakua nikiona changes nimeenda kununua io scabiol right away
…kila mtu ameambukizwa io ugonjwa.tuko around five ivii
results should be seen in 4 days to a weeks time…utarepent kutiana ovyo wewe
…siezi repent nilianza kupitia ii shida uko ma early Feb adi leo na kitu muhimu ni sijakufa bado
plus quit sharing beddings and cloths. disinfect them with hot water or soak with any antiseptic … in short, fumigation by fire hiyo nyumba.