Cha Mkufuu Mwanafuu ha..

Allow me to do this ju narudi chuo in two weeks time.
Kitambo pale high school odijo wa Swa alikua ametuchapia methali ingine apo ya waana sana. Ati "Cha Mkufuu mwanafuu ha, aki… hu. The proverb never made sense to me till i got to form three.
There is this day, pale computer lab, i came across a list of all teachers and their contacts. Si unajua pale boys’ boarding school ni kama jela ju tumezoea tu kuona mandume. I had to take all the female teachers’ contacts and began selling them to the thirsty bastards in my class.
After a few years of kula ndunya za mafala nikiwapa namba na hawafanyii kitu kukaja ndume ingine from Vihiga Boys’. Ndume kuona madam wa chem akifunza ikaingia flight mode. Ameng’ethia tu hapo hata haoni izo bond tunafunzwa. Mi nikajua baas, kuna fala mpya ya kuuzia namba ya aka ka mwalimu. After prep tukasign contract akanipa mba0 (enough for ndunya nne coz back then there was nothing else you could buy in school) mi nikampa namba.
It was less than a week when the bastard was caugth in the teachers’ quarters sampling slices za huyo mode. Kitu ninja haikua imejua ni kua huyo madam alikua bibi ya mwalimu mingine hapo ivo beast. Kijana alipewa mob justice na walimu ka wote ju amekula stuff ya odijo. As he was preparing to go for expulsion, all of us were there to fist bump him.
“Obi we ni mwanaume” we told him.
"Lakini cha mkufunzi mwanafunzi hali, akila hufa.

Sasa nionesheni mahali nitakaa

There is no way you are a New Villager.
Nice story

You are free to walk around, mr. Nv. Don’t be intimidated by anyone. Wakikuharass niambie. I am the chairman of the welcoming committee. Karipu sana

KALIA MIGUU WEWE HUFAI ATA KITI

Kwani alipewa disco kwa kijiji akarudi kama fresher @Mzee mzima?

Cha @Mkufuu unaitweko hapa…

Huyu sio yule jamaa WA golf wa Forest road? @Bangaiza Salinga Na CSI inc kazi kwenu

[ATTACH=full]95338[/ATTACH]

[ATTACH=full]95339[/ATTACH]
Karibu NV

Shukraan mamen

Calm your balls, son. Or should I say golfs?

NV indeed. Hata nilikuwa nimekupa like nikaing’oa juu hii reply unachekelea @Mundu Mulosi

Hekaya iko chonjo.
Nice flow.
Believability 5%.

Nice story.
Lakini a few years after Form three bado ulikuwa high school? Isorait.

Hio methali bado sielewi miongo karibu mbili sasa.

:D:D:D:Dhiyo beating unatake in pride

Iko chonjo,
mtu akikutishia tutamnyanyafuu

Ama amekuanga stalker wale unaonanga ati 15 robots and 1 guest

Nice hekaya NV.

Unaleta part 2 ya ile hekaya ya train lini SV?