Centum - Two Rivers

The mega-development changing the landscape between Limuru Rd. and the Nothern Bypass nears completion:

http://www.kenyatalk.com/index.php?media/albums/building-kenya.13/

@uwesmake @123tokambio @shocks and all ARSENAL fans leo tuna game…21:45 Kenyan time, Ka- capitol 1 cup hivi but sai inaitwa EFL cup. Tunacheza away na team fulani wasiwasi

Hehehe…ati team wasiwasi… Nacheki leo ni team B inacheza; except Mzitoh Granit na the OX

na ka perez ule new signing

Huyo ni team B, hata sioni akitoa OG12 kwa position…

Enyewe nimekaona akicheza umeffi. Wenger alimuokota wapi?

MW Leicester washatinga Chelsea kamoja

Wenger ni meffi pia juu ya kukausha 60m ya kuchukua Griezzman.
Wacha wakamuliwe. But yenyewe hii si kikombe ya wazitoh. Am sure wenger anawish tukamuliwe tushughulike na EPL/UCL…

Umecheki Bao ya Xhaka. Huyo boy Jo!

Kaa tu ile ya weekend. Hio mguu imebeba uzito. Hopefully Wenger meffi hatamkataza kushoot. Wenger ni mshenzi sana…

[ATTACH=full]58308[/ATTACH]

Hehe derailment noma!

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Great job. Ruaka slum upgraded

:D:D

Wueeh.
Thread imekula sweep kweli…
:D:D:D:D

I have an expose on the Koinange, Gichuru, Mahihu, Kanyotu, Michuki, Karume, Kiereni, Kenyatta, Ngugi’s, Njonjo Mugane vs the Young Upcomings (Kirubi; a Late bloomer, Governor Kabogo, WaIria) derail hii thread yangu wacha ikae

Ti utoboe tu dada ?