Census walikuja

[ATTACH=full]256124[/ATTACH]

Uliwapea chakula ama walimeza mate ukikula nyama?

Kila mtu akule kwao

ata ivo sijawahi kulia plastic kwangu

Hizo sahani ni za plastic?

I have confirmed that despite all the hullabaloo this exercise was beset with hiccups from the start…
In four different counties,‘my people’ have confirmed that no one showed up to count them. They are still waiting hoping to be counted today. I wasn’t counted too.
I ain’t waiting anymore…

@Moody awori. Peasant.

Hii imekuwa fb.

Jamaa inakula chapati na matooke.

African hospitality ilienda wapi…angempea hata kachapat kamoja aende akkulanga kwa barabara

It was provided for…counting is to go on until 31st. Your only obligation is to remember who slept in your house on “Census Night” or the Census Reference Night.

si uko na nyumba ndogo… hiyo pesa unatumianga kutafuta malaya ungetumia kujijenga. mbwa hii!

Not in Africa

Viti ni zile tulikua tunaadmire na jm kariuki 1974

Kijiko ni ya nini kwa mchuzi?

Hizo maandisi.

Organic food should be taken Na mkono

si nini lakini siezi kula mgeni akiwa. heri maji ya ugali ipoe

We Ni mchoyo