Celebration Time

Finally the deal is signed. In a weeks time naelekea battlefield kuanza works and this calls for celebration. Monday yangu inanibamba ndani ya Kisum city. Watu wa mbisha there you go.

[ATTACH=full]23449[/ATTACH]

7 Likes

Waiter: omera utakula nene leo
twanga: nipe pilsner moja moto
waiter:utakula nene lakini?
Twanga: dry fry kiti moto na uchanganye na chips, pili pili kwa umbali

P.S what is that food you taking? couldn’t figure out.

2 Likes

Hapo sawa mboss. Tunapenda watu wanaleta hekaya na ushahidi

2 Likes

https://j.gifs.com/6leLrJ.gif

3 Likes

http://i.imgur.com/ydVscNS.gif

1 Like

:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek: French fries, Yummy!!!

Hapo sawa mzae.Sahau mashufe unaenda kuumia kama Lab.
Is it true that kufunguliwa boot iko frequent sana hizo sides? According to my sources lazima ukae ngume ama utavunjiwa mayayi.
All the best lad.

Suddenly I am thirsty :rolleyes:

And hungry.

yaani unaharibu pesa hivi na mabati ulikuwa unataka mzee?kweli ujaluo ni gharama

3 Likes

http://s2.quickmeme.com/img/47/47042f7716951a0857c4e1289a247c34cd4f0088c9dc0a44dbcfc60881a5aba6.jpg

2 Likes

Congrats Omera. Pia mimi kuna watu wananitafuta sana ( for an year now). Though mshahara ni extremely good,me hushinda nikikataa juu the place is quite a distance from Kenya.

[ATTACH=full]23458[/ATTACH] [ATTACH=full]23459[/ATTACH] [ATTACH=full]23460[/ATTACH]

It is a cardinal sin to order and/or take a warm Pilsner.

1 Like

All the best

HA HA HA … noma sana!!! :D:D

Chieth jabucha … sema wankanyama. Lasima mutu ajibambe

1 Like