I still hold this weapon dear[ATTACH=full]22887[/ATTACH]
NI VILE HUJAKOMAA KIAKILI
Hata Koffi Olomide ana yake 0:07
https://www.youtube.com/watch?v=hax0fSHnAO4
[ATTACH=full]22888[/ATTACH]
Kuja hapa nikufyatue moja katikati ya balls ndio ujue nimekomaa…
@Wakanyama Shenzitype piga picha hiyo akili yako kama imekomaa
@The_Virus habari ndo hiyo
kazee,TULIA
Sawa mzee
Tulikua tunaiita kigusa.
Hii kitu ni ngori, kuna ingine pia tulitumia them dayz ya chuvyu (u or v shaped), iyo ilikua weapon.
faya :D:D:D:D good old hunting memories
MTU AKITAHIRI YAFAA AACHE HUU UTOI
HAPO UMEONGEA UKWELI SHEMEJI
Nenda Sultan Hamud ama email. Zauzwa kwenye steji.
kwani una fuga pigeons
Eish boss … kwani wee ni ndorobo!
Apana ndomboloooo ndombolooo a ndomboloooo
used to hunt pigeons :rolleyes::rolleyes::rolleyes: oohh that meat :D:D :D:D
Lyk post dont just comment lyk the rest be different
Do you use it or its just a relic?
You see I use it to scare away birds from ma bin dryers…war against Salmonellaaaa they use it at the airport remember @old monk