Cashew nuts(korosho) season is here

I did this bizna last year only that this year my capital niliinvest kwingine… Season starts early Nov…korosho pays well especially ukistore for only two months ikifika Feb March utatafutwa na wahindi like crazy

How much does a kilo sell at? Najua mahali naeza zipata nyingi sana.

Utapata mtwara Lindi… Used to go there mpaka Mozambique

price depends on gava set price… kila mwaka inabadilika depending on world market price

Kilifi pia ziko mingi lakin of late zimekua kidogo since hazinunuliwi sana…naona ma broker wengi buying them at 30-70/= per kg.

But the price is more than 100kes???

Za Kenya hazina quality. Pale tz bei inafika 200…international quality… For export only

Following

@maasai 101 si then atapata kazi hapa…

Wacha nifanye reserch coz niko tz bado…

Tz wapi

Niko dar sahii

Niulizie mpunga current bei

Enda Ifakara. Good quality and cheap.

@teamtalk ile biashara yako ya kupeleka watu majuu ulifunga ama iko bado.

iko… wawili watakuwa testimonials hapa soon… Nafanyia finishing

Sawa b

Good

Tz ni kama bhangi. You need a license to trade in them .