Hi guyz I need a car Budget 300-400ksh
Weka pesa hapa tuamini
1 Like
Effidence ya hio pesa?
Hapa effidens tu lol
1 Like
Kuja nikuuzie Mazda Carol super sleeper bespoke; mwenyewe alikuwa mrogi lakini aliniwachia na hajulikani alipo…
2 Likes
hii ndio inakaa hiyo budget yako. nimetafuta olx na souq nikakosa. hizo zinaanzia $7 kuendlea mbele
[ATTACH=full]115192[/ATTACH]
4 Likes
hapo kuna mob sana if you type that price range kwa olx or cheki.co.ke
mazda demio
@vipersnake please edit your post.
And a word of advice. Always read your posts before presding that post thread button.
1 Like
Ati ngapi?.. Hiyo hata Oti yule mechanic wa magari za wire na mkebe za watoi wa mtaa hawezi chukua.
I fully agree.
5 Likes
Usijali…shaky finger syndrome.
try to check here http://www.bucket-t.com/ they are selling good quality secondhand cars from japan.