Car Sidemirror

Some jerk has just grabbed my sidemirror…how much do they go for those with signals on them[ATTACH=full]45482[/ATTACH]

@introvert ambia huyu mpishi vile atapata hizo jiangxing side mirror zako.

4 Likes

Pole @Gio Friday imeenza na moto…try bunyala rd inda or kirinyaga rd

try shamas huko nyuma ya nakumatt mega. the car parts supermkt

3 Likes

Along that street hawezi kosa …

hawa ma shining eyes chokosh hawataki watu wakae na amani

wewe ugly face @Gio si ungeenda wax na bike mseh

1 Like

Go down to Grogon, utapata hio sidemirror before it is sold to someone else.

Hio gari ni merc gani?

1 Like

Okuyu wa hizo sides collaborate na wezi aki

hawaibangi za merc mwoman , hii labda ni ka toyota

2 Likes

Then he’s in the wrong forum. Hapa ni mbirioneyas pekee. hapana tambua tyt

Yea, if he rushes, he’s sure to get it, and he can alsways argue ni yake akatiwe kitu kidogo.

1 Like

Hehehe…
Niko na extra one kwanza…

What are the chances! Knowing sometime kuna customer anataka na hawana, so someone had to grab Gio’s.

1 Like

Kama uko kwa area ya Ule jamaa wa ma slaps, Kimbia Grogon, Tafuta huyu jaluo anajiita ochieng, mwambie akuuzie hizo side mirror zako. thank me later.

Bro, uko wapi nilete?
German engineering aisee…
[ATTACH=full]45489[/ATTACH]
[ATTACH=full]45490[/ATTACH]
[ATTACH=full]45491[/ATTACH]

10 Likes

what make of a car utafutiwe:mad:??

…searching
…buffering
…loading
[ATTACH=full]45494[/ATTACH]
peasant detected…

@Gio…kwani unakunywaga empire!

2 Likes

Dragon :D:D

:D:D:D…chunga m-rice!

Like it or not, hiyo side mirror mpya utaweka lazima uifungilie kwa nyororo na rivets. Pole kwa masahibu.

Just managed to get time to read and respond to this, first I drive a car that is more expensivee than you can imagine, secondly I am in the bar making bad life decisions