Car Shade.

Wadau I am in need of a car Shade naomba directions, asante.

jenga ya mabati
ama HOA watakataa?

[MEDIA=twitter]1580190037769322497[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1578159128899223552[/MEDIA]

@Ruth less = @hakimoto
Naona ni advertisment ya biz inaendelea.

Mimi sio welder

Naona hapo umetuwekea advert swafi.

Car shades ni za wanawake. Wanaume tunapark gari chini ya mti na ukikasirika unaijengea kanyumba yake kidogo replete with lock and key.
[ATTACH=full]472057[/ATTACH]