Car Radio

My old man ameamua kuamasha kagari yake mzee hapa.Sasa nauliseko nitapata wapi radio poa.Budget ni isikue more than 5K.

Kumasha ndio gani?

Radio poa na iskue more than 5k?, my friend this is 2017

Enda huko grogon uuziwe za “second hand”

tafuta ka pareto

Nunua SQNY uhang kwa driving mirror.

unataka compact set ama radio?:eek::eek:

:DUliza mtu wa turedio

Enda Luthuri. You will get a new Pioneer for that price.

actually a friend of mine amedoo ivo kwa pickup yake datsun half gear sijui ya 1960.:smiley: another day tumeiacha by the road side ikaka for 1wk karadio kakaibiwa he still blames me