Car hire

Nani atanipa gari ndogo premio hivi… To be used around Nairobi… Kesho morning…
?contacts

Hio harusi imepostponiwa,relax panda basi za githurai venye umezoea

Babu alinisho kuwa Ujinga ni rafikiye Ugomvi

Babu alikua on point

Tuko na car hire services lakini tuko na Gtouring, Nissan vanette na Noah

Do GTouring still exist?

Those cars just won’t die. Ongeza L touring, toyota 98, 100, 110, 111. Sugu kama bed bug