Car Dealers

Nataka gari 4x4 budget ni 500k… inbox or drop your contacts.
KA… or KB

Wish you had posted this last week a pal was selling a vitara V6 @ 550k but it was sold.

Mimi sijui lakini najua kule pombe iko

[ATTACH=full]20272[/ATTACH]

4 Likes

Did you intend to mean 4wd? If so, I would advice you get a Subaru legacy BH5 or forester SF5(1999 or 2000 model). Very capable rides especially the legacy BH5. You get a versatile all wheel drive vehicle capable of taking you anywhere. Utapata na kitu 350-400k hio 100k ya juu tumia kufanya touch ups here and there. Lakini avoid turbos mzee. It is a better bet than kutafuta 4x4 yenye utapata imechapa hence no value for money.

5 Likes

Thank you Kim got the guy… Nice weekend guys

Mimi natafuteko Boxer ama Haojin 150cc na Niko tu na pesa kama hio ya @Ebru but haina zero ya mwisho.

1 Like

Itabidi uibe laptop kadhaa ufikishe 75K.

nataka second hand…but laptop ziko[ATTACH=full]20280[/ATTACH]

2 Likes

Na masimu pia[ATTACH=full]20281[/ATTACH]

specs za io alienware…risiti …na bei??:D:D:D

Mwizi.

1 Like

Napenda sana.

Core i7 ivi ivi :D. @snapdragon specs chap chap.

achane kelele i have a congolese client huezi fika bei yake, anatoa 90k

Polisi gani wewe @pamba badala ya kuvalisha mtu bangili unamwita mwizi…hehehe

2 Likes

Ongezea kama 60k kwa hio pesa upate New shape mazda demio,year 2008.gari mzee utatumia pesa nyingi za repair

[ATTACH=full]20352[/ATTACH]