Fugt it mapema hii makosa imeshafanyika.
Wasee kupiga gari buffing front na rear bumper ni kama ngapi hivi
Fugt it mapema hii makosa imeshafanyika.
Wasee kupiga gari buffing front na rear bumper ni kama ngapi hivi
Une gongesha gari ya mama ama ni ya mhindi? 3k hivi
Acha bana niliguza msee kwa jam na uchoyo zangu.
Rudisha gari haitajulikana
Apana i like to take care of my things.
The problem si kujulikana the problem ni inakaa mbaya.
But fundi ananishow nikae tu siku mbili nitaizoea maisha iendelee
Full car ni 2500
Okay
Eka picha angalau
Na ununue Tyre mupya. Iyo imeisha threads kama Ile something ya @TrumanCapote
Smh