Wakuu, hope mko fiti.
Nisaidieni apa
Hii past week gari imeniletea aibu,kila time asubuhi lazima niite jirani kujump start. Siku tatu.
Leo nimesema apana, kupeleka ndae garage nikaambiwa io battery imekwisha…imefunguwanishwa wakasema enyewe ata izo cells zimekufa deadly.( Pic attached.)
Hii nilishika 2017 mpaka saa hii…its a maxxis
Nimejaribu kuitafuta kidogo haipatikani.
Wakuu,which good battery do you suggest and where to get?price pia ntashukuru. Kitu mpya inaeza nipee 4, 5yrs kama hii.
Exidde naskia za sku hizi walikojolea ata kufika 1yr ni kismat.
Ni NS70 Maintanance free ju mm kichwa haiezi kumbuka kuongezanga maji