Hii kitu ukikunywa mdomo hunuka Kama sewage
MĂșici mai maya
Unakunywa Captain Morgan ya Kariobangi light Industries.
Hiyo ni pombe imeundwa na maji ya sewage ulikunywa
Hii Ni ile ya jamaica
Captain Morgan has become quite popular and this means the kariobangi Light industries wamecheza kama wao.
I love the TV ad
Full of sugar. Gives me a headache.
Kutoka saa hii nimewachana nayo ebu leteni joint za keg tuhamie huko
ya hapa Nairobi ni sewage watu wanakunywa but kama hauna pesa inabidi tuu kesi baadae
Which one do you speak of?
Hii?
[ATTACH=full]338623[/ATTACH]
Au hii ?
[ATTACH=full]338624[/ATTACH]
Ni true. Kuna a lot of counterfeits for drinks na kwa vile clubs huwa na lighting huezi notice difference unless ni connoisseur. Unanunua Morgan kumbe ni legend
Of course ni hio ya chini, ingekuwa ya juu tayari Hessy angekuwa ako bumper naye.
Ya juu si ile takataka ya eabl