What is that? I have never seen it
2 Likes
Hujawai kula mukimo huko ushago?
2 Likes
Yuletapeli:
…
hakimoto:
…Okuyu wanakula
Ni mboga gani hizo hasa
Okuyu original wanaweka kwa mukimo. @FieldMarshal_CouchP fundisha vijana.
1 Like
@ChifuMbitika anaeza tufunza mawili matatu
1 Like
hakimoto:
Hii ni okuyu fake
We use pumpkin leaves aka kahurura.
.
Mukimo is cooked with pumpkin leaves or spinach. Not any other takataka.
Wakikuyu wanakula hii washapita life expectancy age na hawako tiktok,wanaskia Inooro.Saa hii ndio dew inakauka kwa thara wakatie ngombe alafu wangoje Rigathi awapee directions watachagua nani.
Hizi mashida za superfood ni za urban middle class wenye hukula processed foods za mhindi na kuorder junk delivery.
3 Likes
Mafakî tunakula na ugali. Pia unaweza tumia kupika mukimo. Tumekula hii mboga for hundreds of years and I have never heard of this claim that it causes cancer. Hii ni prokopanda ya wazungu
3 Likes
ChifuMbitika:
…
Yuletapeli:
…
hakimoto:
…
Yuletapeli:
…
hakimoto:
…Okuyu wanakula
Ni mboga gani hizo hasa
Okuyu original wanaweka kwa mukimo. @FieldMarshal_CouchP fundisha vijana.
@ChifuMbitika anaeza tufunza mawili matatu
Mafakî tunakula na ugali. Pia unaweza tumia kupika mukimo. Tumekula hii mboga for hundreds of years and I have never heard of this claim that it causes cancer. Hii ni prokopanda ya wazungu
Fundisha iyo @Landlord mtu ya taon

Hio ni ile majami ya pumpkin [na elder wasinicheke, nimelewa kwa concrete jungle pris]
Yuletapeli:
…o hasa

Apana. Si hiyo ya pumpkins. Hiyo tunaita marenge, close to another variety called kanyuria/kahurura
1 Like